Wednesday, August 15, 2012

BEST FRIEND WANASHINDWA KUAMINI KILICHO TOKEA SIKU YA FINAL YA DANCE 100%

BEST FRIEND CREW
  •  Tunashindwa kushangaa ni kwa nn imekuwa vile wakati ilikuwa wazi kabisa kuwa ushindi ni wetu.
  • Mbali na kelele zamashabiki,kuingia top 5 na kushinda pia ilikua ni haki yetu sababu kulikuwa na gap kubwa sana baina yetu na kundi lingine lolote nchini.Tunaamini ivyo sasa kwa kilicho tokea tunaona kama uonezi .Kwa kiwango chetu mpaka tulipo fika nusu fainali kama wangekuwa wanahesabu maksi tu tungeomba tupumzike watoto wachezecheze napo wasingefikia pale tulipo na ubingwa ungekuwa wetu tu ila tuliendelea kucheza tena kwa kuzidisha kiwango bila kujali tupo na watoto.Tulichokuwa tunatazamia ni kuwapa radha mashabiki wetu.Tunashukuru pia kwa kutupa changamoto ila fahamu mashindano ya ukweli ni mpira kwa sababu wote tunaona palepale asanteni.Tuanawapenda wote walisema  BEST FRIEND CREW

No comments:

Post a Comment