Friday, August 17, 2012

NDOA ya staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya na Hamad Ndikumana ‘Kataut’ ina dalili za kurejea kwenye hali ya amani baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa, kuna vikao vinafanyika kwa lengo la kuihuisha. Chanzo chetu kilichoomba hifadhi ya jina lake ambacho ni mmoja kati ya marafiki wa Irene kililitonya Ijumaa kuwa, yeye na watu wengine wa karibu wa msanii huyo wamedhamiria kuwarudisha wawili hao kwenye furaha kwani wanaamini bado wanapendana. “Tunachokifanya sasa tunakutana mara kwa mara kuangalia kama tunaweza kutumia mbinu gani kuhakikisha ndoa ya Uwoya na Ndikumana inatengemaa. Kwa kifupi tunaisuka upya,” alidai sosi huyo na kuongeza: “Unajua kwa watu unaowapenda huwezi kufurahi kuwaona wakiwa mbali, sisi tunaamini tutafanikiwa katika hili, tunajua Irene anampenda Ndiku na Ndiku anampenda Irene ‘so’ ni lazima kieleweke. Baada ya kunyetishiwa habari hiyo, Ijumaa lilimtafuta Irene ili kujua kama anajua lolote kuhusiana na vikao hivyo lakini hakuweza kupatikana. Hata hivyo, Ndikumana aliwahi kuongea na moja ya magazeti ya Global Publishers na kusema kuwa hajavunja ndoa na Irene hivyo inaaminika siku yoyote mambo yatakuwa freshi. udisha.Chanzo chetu kilichoomba hifadhi ya jina lake ambacho ni mmoja kati ya marafiki wa Irene kililitonya Ijumaa

Wednesday, August 15, 2012

im boss by sancho

dance 100% by sancho

http://youtu.be/xbHMKFaa_Bc

EXTREME BASH

Pro 24 wanawatangazia wapenzi wao walabata  kuwa siku ya j pili ya tarehe 26-08-2012 ndani ya bils  kutakuwa na show ya extreme bash
Kwa kiingilio cha sh.10,000 za kitanzania juanzia saa 03-usiku till late performer kutoka kenya ni
MARYA & AVRIL toka bongo pia kutakuwa na wasanii kibaooo
Karibuni sana bila kusahahu wazee wa fullbata.com watakuwepo pia kusuport ili mambo yawe sawa

BEST FRIEND WANASHINDWA KUAMINI KILICHO TOKEA SIKU YA FINAL YA DANCE 100%

BEST FRIEND CREW
  •  Tunashindwa kushangaa ni kwa nn imekuwa vile wakati ilikuwa wazi kabisa kuwa ushindi ni wetu.
  • Mbali na kelele zamashabiki,kuingia top 5 na kushinda pia ilikua ni haki yetu sababu kulikuwa na gap kubwa sana baina yetu na kundi lingine lolote nchini.Tunaamini ivyo sasa kwa kilicho tokea tunaona kama uonezi .Kwa kiwango chetu mpaka tulipo fika nusu fainali kama wangekuwa wanahesabu maksi tu tungeomba tupumzike watoto wachezecheze napo wasingefikia pale tulipo na ubingwa ungekuwa wetu tu ila tuliendelea kucheza tena kwa kuzidisha kiwango bila kujali tupo na watoto.Tulichokuwa tunatazamia ni kuwapa radha mashabiki wetu.Tunashukuru pia kwa kutupa changamoto ila fahamu mashindano ya ukweli ni mpira kwa sababu wote tunaona palepale asanteni.Tuanawapenda wote walisema  BEST FRIEND CREW

Friday, August 10, 2012

jhdxfgkjhg

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA IKIANDALIWA VIDEO MPYA YA NIKI WA PILI

Ilikuwa ni siku ya tah:30-06-2012 mida ya saa 02 :15  Mchana ndani ya COCO BEACH
 Pia kulikuwa na company ya kutosha kama Joe Makin,G warawara & Linah
Jina li video PAIR
Joe Makini,Nick Wa Pili & G warawara

Msechu,Shizo,Joe Makini & G warawara